Facebook

Friday 25 July 2014

Lampard ajiunga rasmi na New York City FC.

 Frank Lampard amekamilisha uhamisho kujiunga na klabu ya ligi ya Marekani - MLS ya New York City FC baada ya kutamvulishwa hii leo. 
Frank sasa ana miaka 36 na ameiwakilisha Chelsea kwa misimu 13 na kufunga bao 211 ambazo ni rekodi kwa Chelsea.
Lamps amekua mchezaji wa nne kusajiliwa na New York City FC na jina kubwa lingine likiwa ni David Villa aliyetokea Atletico Madrid.
Frank Lampard amekamilisha uhamisho kujiunga na klabu ya ligi ya Marekani - MLS ya New York City FC baada ya kutambulishwa hii leo.
Frank sasa ana miaka 36 na ameiwakilisha Chelsea kwa misimu 13 na kufunga bao 211 ambazo ni rekodi kwa Chelsea.
Lamps amekua mchezaji wa nne kusajiliwa na New York City FC na jina kubwa lingine likiwa ni David Villa aliyetokea Atletico Madrid.

0 comments:

Post a Comment