Facebook

Thursday 24 July 2014

Watanzania wazidi kupiga hatua,Page ya Hasheem Thabeet ya Facebook yawa Verifeid


Alama ya verified ndio inatambulisha ukurasa halali wa mtumiaji kwenye mitandao mingi sana. Alama hii ni muhimu sana hasa kwa watu maarufu wanaotumia mitandao ili kuepuka kuwepo kwa kurasa feki ambazo haziwahusu.
 hasheeeeeem
Hivi sasa mtu maarufu ambaye page yake ya facebook imekuwa verified ni mchezaji wa kikapu kwenye timu ya Oklahoma City Thunders “Hasheem Thabeet”. Ukurasa wake wa twitter ulikuwa verified siku nyingi na hivi sasa mashabiki wake wa facebook watakuwa na uhakika kwasababu na facebook wame-verify ukurasa wake.

0 comments:

Post a Comment