Facebook

Wednesday 23 July 2014

Davido awajibu wanaomponda kwenye mitandao ya kijamii.

dadivo
Davido ni mtu ambaye huwa anaonyesha vitu vingi anavyonunua kama baadhi ya mastaa lakini kwa upande wa Davido vinahusika vitu vya gharama sana. Ukicheki utaona post akionyesha saa za Rolex ambazo zina material ya dhahabu, magari ya kifahari,nyumba na vitu vingine.
 wwwwwwwwwwwwwww
Baada ya kuulizwa kuhusu ishu hii ya kupenda kuonyesha mali zake kwenye instagram Davido alijibu,
”Sitaweza kuita kama ni kujionyesha kwa mali zangu. Yale ni magari yangu,zile pesa zangu na pia ile ni page yangu.
Sio lazima uni follow kwenye instagram wala kunifata kwenye mtandao wowote wa kijamii. Ingekuwa tofauti sana kama nataka kujitangazia mali zangu basi ningetumia mabango ya barabarani lakini sifanyi hivyo”

0 comments:

Post a Comment