Jermaine yupo Nigeria kuongelea kufanya kazi na P Square kwenye album yao ya sita ambayo tayari nyimbo kama Testimony na zingine chache ambazo zimesharekodiwa huku tukitegemea rapper T.I Kuwepo kwenye nyimbo moja. Jermaine atahusika kwenye production na atashirikishwa kwenye baadhi ya nyimbo hizo.Hii picha nyingine ya Peter wa P Square akiwa kwenye jumba lao wanaloliita Square Ville
Tuesday, 22 July 2014
P Square wakutana na ndugu na Micheal Jackson kuongelea kufanya kazi pamoja.
Jermaine yupo Nigeria kuongelea kufanya kazi na P Square kwenye album yao ya sita ambayo tayari nyimbo kama Testimony na zingine chache ambazo zimesharekodiwa huku tukitegemea rapper T.I Kuwepo kwenye nyimbo moja. Jermaine atahusika kwenye production na atashirikishwa kwenye baadhi ya nyimbo hizo.Hii picha nyingine ya Peter wa P Square akiwa kwenye jumba lao wanaloliita Square Ville
0 comments:
Post a Comment