Yanga yazidi kutakata Mbeya, Simba Hoi ShinyangaTimu ya Yanga imejibebea point nyingine tatu katika mkoa wa Mbeya baada ya leo kuichapa timu ngumu ya Mbeya City jumla ya mabao 3-1 katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara.
Mabao
ya Yanga yamefungwa na Simon Msuva dakik…Read More
Kuchelewa kuingia uwanjani kwamponza Mane,Southampton.
Meneja wa Southampton Ronald Koeman ametoboa siri kuwa jana alilazimika kumwondoa Sadio Mane ambaye ni raia wa Senegal kwenye orodha ya wachezaji watakaonza katika mechi dhidi ya Liverpool kwa kosa la mchezaji huyo…Read More
Liverpool yazidi kupaa Ligi Kuu Uingereza. Majogoo wa Liverpool leo wameonesha makucha
yao katika mchezo wa ligi kuu ya England baada ya kuichapa timu ngumu ya
Southampton mabao 2-0.
Mabao ya Liverpool yamefungwa na Philippe Coutinho dakika ya 3 na Raheem Sterli…Read More
0 comments:
Post a Comment