Facebook

Wednesday 23 July 2014

Zaha atarajia makubwa zaidi baada ya ujio wa Van Gaal.

Photo: ZAHA APEWE NAFASI.

Mshabiki wa Man Utd bado wana amini Wilfred Zaha akipewa nafasi ya kucheza first team na kuaminiwa atafanya vizuri kuliko Young na Nani.

#Zaha pia alionekana akiwa na furaha kuja kwa LVG na kusema kuwa anahitaji kujituma na kumuonyesha kila kitu kocha mpya ili kuwa ktk kikosi cha kwanza.

For me, I definitely feel like this is a clean slate," #Zaha said. "All I'm trying to do is impress the new manager and get into his squad.

"All I can do is give my all. There's a new manager and I want to make sure I show him what I can do.

Hicho ndicho alichosema #Zaha akiwa anahojiwa na #SKYSPORT

JE una amini Zaha akipewa nafasi ataweza zaidi ya Young na Nani...?
((Shebby)) 
Man Utd bado wana amini Wilfred Zaha akipewa nafasi ya kucheza kikosi cha kwanza na kuaminiwa atafanya vizuri kuliko Young na Nani.

Zaha pia alionekana akiwa na furaha kuja kwa LVG na kusema kuwa anahitaji kujituma na kumuonyesha kila kitu kocha mpya ili kuwa ktk kikosi cha kwanza.

For me, I definitely feel like this is a clean slate," Zaha said. "All I'm trying to do is impress the new manager and get into his squad.

"All I can do is give my all. There's a new manager and I want to make sure I show him what I can do.

Hicho ndicho alichosema Zaha akiwa anahojiwa na SKYSPORT

0 comments:

Post a Comment