Facebook

Thursday 31 July 2014

Picha za Mastaa 30 duniani wanavyofananishwa na vitu mbalimbali !! Usipocheka Una matatizo.

30 Celebrity Lookalike

 Katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na Orodha ya Mastaa 30 duniani ambao picha zao wakiwa katika pozi tofauti tofauti wamefananishwa na kweli wakafananana vitu mbalimbali vya ajabu kama vile vile wanyama,viatu,midoli,katuni na wengine wamefanana na mastaa wenzao

totally-looks-like-31
brtherdh
cbcvb eved evve fbdfb  fnfgn fnfgngf fnfgngfn fnfnfry gege [ 3x1033] gegreg gergeg hrthtr jyjyj mymy mymym nfgngf nfgnngf ntnty nytnt rgerg rhrhrt scsv sdc
vdeevr yumym
brdbgt gegr 
Hakika inafurahisha mimi binafsi nimefurahishwa sana na ile ya kwanza kabisa,Jinsi Rambo alivyofananishwa na kiatu kwa pozi aliloweka.Wewe Je umefurahishwa na ipi hapo juu? Acha comment yako hapa chini kupitia facebook,Gmail na Twitter

Endelea kutembelea www.bantutz.com uweze kupata vituko na mikasa mbalimbali kutoka katika kila pande ya dunia.Hakika hatutakuangusha,tutakufikishia kile kitakachokuwa kimetufikia mikononi mwetu.Share hii.

0 comments:

Post a Comment