Facebook

Monday, 21 July 2014

Patrice Evra ajiunga rasmi Juventus.

 Photo: EVRA AENDA JUVENTUS
Patrice Evra amekamilisha uhamisho wake kutoka Manchester United kwenda Juventus. Beki huyo wa kushoto kutoka Ufaransa amekaa Old Trafford tangu mwaka 2006. Manchester United ime tweet ikisema: Patrice Evra ameondoka #mufc kujiunga na Juventus. Kila mmoja katika klabu hii anamshukuru kwa miaka yake mingi ya huduma bora aliyotoa."

Patrice Evra amekamilisha uhamisho wake kutoka Manchester United kwenda Juventus. Beki huyo wa kushoto kutoka Ufaransa amekaa Old Trafford tangu mwaka 2006.
 Manchester United ime tweet ikisema: "Patrice Evra ameondoka Manchester United kujiunga na Juventus. Kila mmoja katika klabu hii anamshukuru kwa miaka yake mingi ya huduma bora aliyotoa."

Related Posts:

  • Yaya Toure 'Siondoki Man City'Mchezaji Yaya Toure amethibitisha kuendelea kukipiga Manchester City msimu ujao, na anafuraha na heshima kwake kuendelea kuwepo Etihad pamoja na kuwepo na uvumi wa kuhamia timu ya Inter Milan ya Italy.Kiungo huyo miaka 32 … Read More
  • Man City yamnyatia Isco.Manchester City inataka kupata saini ya kiungo wa Real Madrid Isco. Mchezaji huyo miaka 23 hajui hatima yake Santiago Bernabeu baada ya ujio wa meneja mpya Rafa Benitez.Isco alijiunga na Real Madrid kwa ada ya Euro milioni30 … Read More
  • Man United wapewa nafasi kubwa kumnasa Gundogan.Manchester United inamwinda mchezaji IIkay Gundogan kutoka Dortmund lakini taarifa zinasema mchezaji huyo yupo katika mazungumzo na vilabu vingine vya Bayern Munich na Barcelona. Timu za Arsenal, Chelsea zinatajwa kumchu… Read More
  • Schneiderlin kutua Man United kwa ada ya Euro milioni 25Manchester United imevutiwa na kutaka kumsaini mchezaji kiungo wa Southampton Morgan Schneiderlin..Kiungo huyo wa miaka 25 ni mmoja wa viungo waliocheza vizuri msimu uliomalizika wa Premier League.Timu ya Arsenal na Tottenha… Read More
  • Van Persie hatihati kusalia Man United Mshambuliaji wa Manchester United Robin van Persie amekubali kuondolewa Old Trafford baada ya kupitia magumu msimu huu.Mshambuliaji wa Manchester United ana mwaka mmoja tu wa kumaliza mkataba wake wa sasa.Van Persie ana ma… Read More

0 comments:

Post a Comment