Facebook

Thursday 24 July 2014

Orodha ya wanamichezo matajiri zaid duniani,Mayweather,Ronaldo wafunika.



  • 1.Floyd Mayweather akiwa na utajiri wa $105 M

     

  • 2. Cristiano Ronaldo akiwa na utajiri wa dola za kimarekani Million 80 {$80 M}


  • 3 LeBron James akiwa na utajiri wa dola za kimarekani Milioni 72.3 {$72.3 M}
     

  • 4.Lionel Messi akiwa na utajiri wa dola za kimarekani Milioni 64.7 {$64.7 M}

     

  • 5 Kobe Bryant akiwa na utajiri wa dola za kimarekani Milioni $61.5 M


  • 6.Tiger Woods  akiwa na utajiri wa dola za kimarekani Milioni $61.2 M
     

  • 7.Roger Federer akiwa na utajiri wa dola za kimarekani Milioni  $56.2 M
     

  • 8 Phil Mickelson akiwa na utajiri wa dola za kimarekani Milioni $53.2 M
     

  • 9. Rafael Nadal  akiwa na utajiri wa dola za kimarekani Milioni $44.5 M
     

  • 10 Matt akiwa na utajiri wa dola za kimarekani Milioni Ryan $43.8 M

0 comments:

Post a Comment