Facebook

Tuesday, 1 July 2014

Giggs:Sikuwa tayari kuwa kocha


Aliyekuwa kaimu kocha na Mchezaji wa Manchester United Ryan Giggs amekiri kuwa hakuwa tayari kwa majukumu ya kazi kama kocha wa klabu hiyo ya Uingereza.
Giggs anasema kuwa uteuzi huo ulikuwa mapema kuliko alivyotarajia.
Giggs alichukua hatamu kama kaimu kocha mwisho wa msimu uliopita baada ya kocha David moyes Kutemwa kufuatia msururu wa matokeo duni tangu achukue hatamu Old Trafford.
Giggs aliyekuwa kocha katika mechi nne za mwisho alitwaa ushindi katika mechi 1 akashindwa moja na kisha akatoka sare katika mechi ya mwisho Manchester united ilipomaliza msimu katika nafasi ya 7 .

Giggs aliyasema hayo alipokuwa akikamilisha kozi ya ukufunzi akijitayarisha kusaidiana na Louis van Gaal Old Trafford .
Giggs alistaafu kama mchezaji msimu uliopita baada ya kuiwakilisha Man united katika mechi 963 na kufunga mabao 168 .

Related Posts:

  • Simba Sc Vs Ruvu shooting Live Commentaries KIKOSI CHA SIMBA IVO MAPUNDA MOHAMED HUSSEIN WILLIAM LUCIAN RAJABU ISIHAKA OWINO MKUDE RAMADHANI SINGANO SAID NDEMLA TAMBWE AWADH JUMA OKWI KIKOSI CHA RUVU SHOOTING ABDALLAH MADEGA MGUTA MSESE NTEBE DABI KEYALA NADI MATHAYO… Read More
  • BantuTz LIVESTREAMING::->Liverpool Vs ChelseaAngalia live kupitia Computer au Tablet yako mechi kati ya Liverpool dhidi ya Chelsea Utaangalia mechi hiyo bila kukwama au kukatika kwa matangazo ya mechi hiyo hata kidogo. Utafurahia kuangalia mechi hiyo kama utatumia Compu… Read More
  • Liverpool vs Chelsea:LIVE COMMENTARYLIGI KUU ENLGAND: LEO KUANZIA SAA 9 DAK 45 MCHANA LIVERPOOL v CHELSEA VIKOSI: Liverpool: Mignolet; Johnson, Skrtel, Lovren, Moreno: Can, Henderson, Gerrard; Coutinho, Sterling, Balotelli. Kiba: Brad Jones, Toure, Lambert, Lal… Read More
  • BantuTz LIVESTREAMING::Manchester United vs Crystal Palace.Angalia MechiLiveStreaming kupitia Computer au Tablet yako mechi kali kati ya Manchester United dhidi ya Crystal Palace itakayochezwa huko Old Trafford katika Jiji la Manchester majira ya saa 12:00 kwa masaa ya Afrika Mashari… Read More
  • Chelsea yaisambaratisha Liverpool .   Kwa mara nyingine Chelsea imeonyesha ni moto wa kuotea mbali baada ya kuifunga Liverpool 2 - 1 mbele ya mashabiki wao katika uwanja wa Anfield. Liverpool ndio waliokuwa wa kwanza kufunga goli lililotiwa wavuni na … Read More

0 comments:

Post a Comment