Lewis Hamilton akionekana ameshika nafasi ya sita kwenye mashindano ya British Grand Prix, yaliyofanyika Silverstone, England.
Hamilton alionekana kuchukua nafasi ya pili kama ilivyo miaka mingine mbele ya mashabiki wake wa nyumbani ila barabara yake ilionekana kuharibiwa na mvua.
Mpinzani wake Nico Rosberg alinyakua nafasi hiyo wakati wa mwisho, huku Lewis akionekana kukata rufaa, na kujiamini kuwa ameshafanya vya kutosha kuanza mbio za leo Jumapili akiwa mbele yao.
0 comments:
Post a Comment