Facebook

Wednesday, 2 July 2014

Liverpool yakamilisha usajili wa Adam Lallana.


Photo: LIVERPOOL YAMSAJILI NAHODHA WA SOUTHAMPTON
Adam Lallana amekamilisha usajili wake kutoka Southampton kwenda Liverpool kwa kitita cha pauni milioni 25. Lallana amekamilisha vipimo vya afya na ataungana na Rickie Lambart aliyetokea Southampton. Kiungo huyo ambaye pia alikuwa katika kikosi cha England kilichocheza Kombe la Dunia, ameichezea Southampton mara 265. 
Adam Lallana amekamilisha usajili wake kutoka Southampton kwenda Liverpool kwa kitita cha pauni milioni 25. Lallana amekamilisha vipimo vya afya na ataungana na Rickie Lambart aliyetokea Southampton.
   Kiungo huyo ambaye pia alikuwa katika kikosi cha England kilichocheza Kombe la Dunia, ameichezea Southampton mara 265.

Related Posts:

  • Liverpool watangaza kumsajili Milner. Klabu ya soka ya Liverpool imetangaza kumsajili kiungo James Milner kutoka Manchester City kwa uhamisho huru.Liverpool wamesema kuwa wamekubaliana masuala binafsi na Milner na atajiunga na timu hiyo mwezi wa saba tarehe moj… Read More
  • Chelsea yaikosa saini ya mfungaji bora wa Serie A,Mauro Icard. Timu ya Chelsea imepigwa mweleka katika mbio zake za kumsajili mchezaji Mauro Icardi baada ya mchezaji huyo kusaini mkataba mpya wa miaka minne na Inter Milan ya Italy. Mauro miaka 22 alikuwa anahusishwa na kuhamia Chelsea… Read More
  • Essien asaini mkataba wa miaka 2 Panathinaikos Nyota wa timu ya taifa ya Ghana na klabu ya AC MilanMichael Essien amesajiliwa na kilabu ya Panathinaikos ya nchini Ugiriki kwa mkataba wa miaka miwili. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa ya Panathinaikos mchezaji huyo mwen… Read More
  • Pogba-"Ndoto zangu ni kucheza na Messi" KIUNGO wa Juventus, Paul Pogba amekiri kuwa ana ndoto za kucheza sambamba na mshambuliaji wa Barcelona Lionel Messi. Nyota huyo wa kimataifa wa Ufaransa kwa kipindi kirefu amekuwa akihusishwa na tetesi za kuondoka jijini… Read More
  • McClaren kocha mpya Newcastle. Steve McClaren anatarajiwa kuthibitishwa kuwa Meneja mpya wa Klabu ya Ligi Kuu England Newcastle Wiki ijayo. McClaren, mwenye Miaka 54, ni Meneja wa zamani wa England na pia aliwahi kuwa Meneja Msaidizi chini ya… Read More

0 comments:

Post a Comment