Manchester
United wameweka dau la kumsajili kiungo bora aliyeng"ara katika fainali
zinazoendelea za kombe la dunia Juan Cuadrado.
Star uyo wa Colombia anatajwa kuwa ndie chachu ya ushindi wa timu yake mpaka kufika hatua ya robo fainal huku akishikiliana vyema na chipukizi mwenye kipaji James Rodrigez.
Gazzetta dello Sport la nchini Italy limeandika kuwa wao wamepokea habari kutoka ndani ya uongozi wa Manchester United kwamba kiasi cha Euro mil 40 ambacho ni sawa na Paund mil 32 kimewekwa mezani kwa ajili ya huduma ya star uyo wa Fiorentina.
Juan Cuadrado mwenye umri wa miaka 26 ambaye anaweza kucheza winga zote za kulia na kushoto pamoja na kiungo cha kati ameonesha nia ya kujiunga na United hasa baada ya kuzikacha offer tofauti kwa vilabu vya Uingereza, Bayern Munich na Juventus.

Endelea kutembelea www.bantutz.com uweze kupata tetesi zote za usajili katika kipindi hiki cha majira ya usajili barani Ulaya.
0 comments:
Post a Comment