Kwa kila matayarisho ya msimu mpya, Arsenal huandaa mashindano yanayojulikana kwa jina la Emirates Cup ambalo hujumuisha klabu kubwa Ulaya.
Mwaka huu kutakua na Bingwa wa ligi ya Portugal Benfica, Klabu kutoka Spain La Liga Valencia na ile ya Ufaransa AS Monaco.
- Jumamosi, August 2
Valencia v AS Monaco
Arsenal v Benfica
- Jumapili, August 3
Benfica v Valencia
Arsenal v AS Monaco
Picha: Jezi mpya za PUMA, kama ni mdau wa soka usisahau ku-share hii wadau wajue ratiba kabla ya ligi.
Endelea kutembelea www.bantutz.com uendelee kupata habari mbalimbali ambazo si rahisi kuzipata sehemu nyingine kwa muda na wakati muafaka
0 comments:
Post a Comment