Fabio Borini, 23, anajiandaa kujiunga na Sunderland baada ya Liverpool
kukubali ada ya pauni milioni 14 (Sky Sports),
Baada ya kumchukua Filipe
Luis siku ya Ijumaa, Chelsea wanazungumza na Atlètico Madrid kuhusu
kumsajili beki kutoka Brazil Joao Miranda, 29 kwa pauni milioni 20
(Daily Star),
Real Madrid wanafikiria kumchukua Alvaro Negredo, 28,
kutoka Manchester City kuziba nafasi ya Alvaro Morata, 20, anayekwenda
Juventus (Metro),
Liverpool wamemwambia Loic
Remy, 27 kupunguza madai ya mshahara mkubwa kama anataka kufanikisha
uhamisho wake wa pauni milioni 8 kutoka QPR (Daily Mirror),
QPR wamepewa
nafasi ya kumsajili Samuel Eto'o lakini huenda wakakataa kutokana na
kutokubaliana mshahara (Daily Mail),
Arsenal watakabiliwa na ushindani
kutoka Valencia kumsajili kipa David Ospina, 25 (Metro),
Everton
wanakaribia kufikia makubaliano ya kumsajili Romelu Lukaku, 21, kutoka
Chelsea kwa uhamisho wa kudumu (Daily Mail),
Tottenham wanakaribia
kukamilisha uhamisho wa pauni milioni 10 wa beki Ben Davies, 21, kutoka
Swansea. Liverpool pia walikuwa wakimtaka (Daily Telegraph),
Boss wa
QPR, Harry Redknapp amesema anapanga kusajili wachezaji "sita au saba"
zaidi kabla ya kuanza msimu mpya (Times),
AC Milan wapo tayari kusubiri
mwisho wa dirisha la usajili kuanza kumfuatilia Nani ambaye Manchester
United wanataka euro milioni 14 (Corriere dello Sport).
Tetesi nyingine
kesho tukijaaliwa. Share hizi na wapenda soka wote. Cheers!!
Related Posts:
TETESI ZA USAJILI BARANI ULAYA: NEYMAR, TEIXEIRA, MESSI, WENGER, ADEBAYOR, BERAHINO, KLOPP, THIAGO SILVA, PETR CECH Manchester United na Manchester City watashindana kuipigania saini ya mshambuliaji wa Barcelona Neymar, 23 (Chanzo Gazzetta)
United wanakaribia pia kumpata kiungo wa Benifica Renato Sanches, 18, na wanategemewa kulipa paundi… Read More
Man United yakaribia kunasa saini ya kiungo chipukizi Renato Sanchez.Klabu ya Manchester United inakaribia kunasa saini ya kiungo Chipukizi mwenye miaka 18,Mreno Renato Sanchez anayekipiga katika klabu ya Benfica.
Kiungo huyo ameshafunga magoli mawili katika mechi 13 tangia alipopandishwa kuto… Read More
Bracelona yammezea mate Coutinho.Timu ya Barcelona imeongeza kasi kasi ya kutaka kumhamisha Nou Camp
mchezaji wa kimataifa wa Kibrazil anayekipiga Liverpool, Philippe
Coutinho.
Unadhani kwa mwenendo wa timu yetu ni bora Coutinho aondoke ama abaki apambane?… Read More
Walcott mbioni kujiunga Barcelona.Mshambuliaji wa Arsenal,Theo Walcott anaweza kujiunga na mabingwa wa La
Liga timu na Champions League timu ya Barcelona, Miamba ya soka hiyo ya
Hispania inafuatilia kwa ukaribu maendeleo ya mchezaji huyo wa kimataifa
wa En… Read More
Klabu ya Liverpool yakaribia kuinasa saini ya Mshambuliaji hatari Teixeira.Liverpool inamuandama mshambuliaji wa Shakhtar Donetsk Alex Teixeira huku Jurgen Klopp akijaribu kufanya usajili wa kwanza tangu alipokuwa mkufunzi wa Anfield.The Reds kama wanavyojiita wako tayari kulipa pauni milioni 24.5 k… Read More
0 comments:
Post a Comment