Facebook

Sunday, 27 April 2014

Je!! Unamfahamu mbunge mwenye umri mdogo zaidi kwenye Bunge la katiba.mfahamu hapa.....


 

Mbunge Teddy Ladislaus Patrick (21), ndiyo mbunge mdogo kulioko wote katika bunge maalum la katiba.
 
Mwenyekiti wa Bunge Maalum Mh. Samuel Sitta akimuapisha Theddy L. Patrick kuwa mbune wa Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma. Picha na Deusdedit Moshi wa Globu ya Jamii, Kanda ya Kati.

0 comments:

Post a Comment