Mlipuaji wa kujitoa mhanga ameua watu wasiopungua wanne karibu na bunge
la Somalia, kwa mujibu wa polisi na vyombo vya habari nchini humo.
Taarifa zinasema bomu hilo lililipuka nje ya lango kuu la kuingilia bungeni baada ya walinzi kumpiga risasi mlipuaji huyo.
Taarifa moja imekariri kundi la al-Shabab ikipongeza "shambulio la kafara".
Al-Shabab walipoteza udhibiti wa Mogadishu mwaka 2011, na tangu wakati huo wamekuwa wakifanya mashambulio kadha wa kadha.

0 comments:
Post a Comment