Arsenal
wamefikia makubaliano ya £34million na Barcelona kwa ajili ya mchezaji
wa kimataifa wa Chile - Alexis Sanchez kwa sharti kwamba watapewa
mchezaji huyo kama klabu nyingine haitafikia dau walilotoa Arsenal na
mpaka sasa Juventus pekee ndio wameonesha nia ya kutaka kufikia ofa hiyo.
Sanchez ameonesha hataki kujiunga na Liverpool ingawa klabu hiyo wakisaidiwa na Barcelona imejitahidi kumshawishi na meneja Brendan Rodgers akitaka nafasi ya kuongea nae.
Juventus ili wamnunue Sanchez wanahitaji kumuuza Pogba kwanza. Na dili kati ya Barca na Liverpool kuhusu Suarez litahusisha pesa tu bila Sanchez iwapo ataendelea kugoma kujiunga Anfield.
Imendaliwa na......

0 comments:
Post a Comment