Vyombo vya habari za Brazil vinaripoti kuwa Luiz Filipe Scolari
amejiuzulu nafasi yake na umeneja wa timu ya taifa.
Tangazo rasmi
linatarajiwa kutolewa baadaye Jumatatu (leo).
Scolari ambaye analaumiwa
kwa kichapo cha mabao 7-1 na Ujerumani alisema awali kuwa nafasi yake
hiyo itafikiriwa upya na chama cha soka cha Brazil baada ya Kombe la
Dunia.
0 comments:
Post a Comment