Barcelona yampa heshima Tito VilanovaKlabu ya Barcelona ya nchini Hispania leo imebadili jina la uwanja wake wa mazoezi na kuupa jina la kocha wa zamani wa klabu hiyo Tito Vilanova aliyefariki Aprili mwaka jana kwa ugonjwa wa kansa ya koo.
Uwanja huo uliokuwa un…Read More
Southampton yasajili mchezaji mwingine kutoka Afrika MasharikiBaada ya kumsajili Mkenya Victor
Wanyama, Southampton FC ya Ligi Kuu ya England (EPL), imesajili
mchezaji wa pili kutoka Ukanda wa Afrika Mashariki baada ya kumpa
mkataba wa miaka miwili na nusu Mganda Bevis Kristofer Kizi…Read More
KOMBE LA DUNIA 1994 NA KUMBUKUMBU YA ANDRES ESCOBAR
Katika uumbaji Mwenyezi Mungu alimpatia kila mwanadamu "UTASHI" yaani uwezo wa kutambua na kujitambua yeye mwenyewe, vilevile ni uwezo wa kutambua jema na baya,kuchambua na kupambanua vitu mbalimbali katika mazingira y…Read More
0 comments:
Post a Comment