Unafahamu ya kuwa kwenye orodha ya watu matajiri 50 Afrika kuna wanawake wawili wanaoingia kwenye orodha ya matajiri hao?
Jarida la Forbes lilitoa orodha ya matajiri hao ambapo Aliko Dangote mfanyabiashara kutoka Nigeria anaongoza kwenye listi hiyo.
Wanawake hao wawili ni Isabel dos Santos ambaye ni mtoto wa aliyekuwa Rais wa Angola, Jose Eduardo dos Santos
 amewekeza kwenye miradi mbalimbali ikiwemo kampuni za mitandao ya simu 
za mkononi ni mwanamke tajiri zaidi ambaye ameingia kwenye listi hiyo, 
pamoja na Folorunsho Alakija ambaye ni mfanyabiashara na mwanamitindo wa Nigeria.
0 comments:
Post a Comment