Facebook

Tuesday, 8 July 2014

Alichopost Marcelo kuhusiana na mechi ya leo.

 Photo: Beki wa Brazil Marcelo ametweet picha hii akiwa na kiungo wa Ujerumani Mesut Ozil, waliocheza pamoja Real Madrid. Marcelo amesema: "Nina hamu ya kukutana na wewe tena. Nywele zangu ziko vilevile lakini zako zimebadilika."
Beki wa Brazil Marcelo ametweet picha hii akiwa na kiungo wa Ujerumani Mesut Ozil, waliocheza pamoja Real Madrid. Marcelo amesema: "Nina hamu ya kukutana na wewe tena. Nywele zangu ziko vilevile lakini zako zimebadilika."

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment