Arsenal wameongeza idadi ya makinda bora wa ki-Ingereza baada ya kumsajili Ben Sheaf kutoka klabu ya West Ham.
Ben Sheaf ana miaka 16, ambaye anapigiwa chapuo kua nyota baadae, amejiunga na Arsenal baada ya kugomea mkataba mpya klabuni West Ham na kuilazimu klabu hiyo kumuuza.
West Ham hawajapendezwa kumuuza, kwani wanamchukulia Sheaf kama mmoja kati ya viungo bora kabisa Uingereza.
Kwa sasa yupo timu ya vijana ya England chini ya miaka 16.

0 comments:
Post a Comment