
Kipa wa zamani wa Barcelona Victor Valdes ameshindwa vipimo vya afya na hivyo hatoweza kujiunga na Monaco inayocheza ligi ya Ufaransa- Ligue 1.
Makamu wa rais wa Monaco Vadim Vasyliev amesema: "Ameumia na hatoweza kuja hapa."
Valdes alipata jeraha kubwa la goti baada ya kutangaza kuwa msimu wa 2013/14 ni wa mwisho kuichezea Barca, baada ya miaka 12.
Endelea lutembelea www.bantutz.com kupata tetesi mbalimbali za usajili kwa muda na wakati muafaka.
0 comments:
Post a Comment