
Kwa habari tulizozipata hivi punde ni kwamba muda mfupi uliopita kumetokea mlipuko wa mabomu katika mitaa ya Ngarenaro nyuma ya soko la Kilombero.
Chanzo cha mlipuko huo hakijajulikana hadi hivi sasa.
Bomu hilo limesababisha uharibifu mkubwa katika eneo hilo huku majeruhi hadi hivi sasa wako katika hospitali ya Mount Meru.





Imeandaliwa na.....
**Katemi Methsela***
**Emmanuel Augustine**
Endelea kutembelea www.bantutz.com kupata habari kutoka sehemu mbalimbai ambazo si rahisi kuzipata katika vyanzo vingine kwa muda na wakati muafaka.
0 comments:
Post a Comment