Facebook

Friday, 4 July 2014

Watafiti wagundua Lugha ya Sokwe.

 Photo: WATAFITI WAGUNDUA "LUGHA" YA SOKWE
Watafiti wamesema wameweza kutafsiri maana ya ishara na milio wanayotoa sokwe wakati wanawasiliana.
Wamesema sokwe hao huwasiliana kwa ujumbe thabiti 19 na pia kwa ishara zenye 'misamiati' 66.
Wanasayansi wamegundua jambo hili baada ya kufuatilia na kupiga picha jamii za sokwe nchini Uganda, na kuchunguza zaidi ya matukio 5,000 yenye 'mazungumzo' yanayoleta maana.
Utafiti huo umechapishwa kwenye jarida la Current Biology.
Makala kamili kwa lugha ya kiingereza ingia:
http://www.bbc.co.uk/news/science-environment-28023630
 
Watafiti wamesema wameweza kutafsiri maana ya ishara na milio wanayotoa sokwe wakati wanawasiliana.
Wamesema sokwe hao huwasiliana kwa ujumbe thabiti 19 na pia kwa ishara zenye 'misamiati' 66.
Wanasayansi wamegundua jambo hili baada ya kufuatilia na kupiga picha jamii za sokwe nchini Uganda, na kuchunguza zaidi ya matukio 5,000 yenye 'mazungumzo' yanayoleta maana.
Utafiti huo umechapishwa kwenye jarida la Current Biology.

Makala kamili kwa lugha ya kiingereza ingia: UGUNDUZI WA LUGHA YA SOKWE.
 
Imeandaliwa na....
                             Katemi Methsela.

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment