Facebook

Wednesday, 9 July 2014

BRAZIL YAPOKEA KIPIGO CHA MBWA MWIZI

 #KombeLaDunia2014: BRAZIL YAPOKEA KIPIGO CHA MBWA MWIZI

-Brazil yapokea kichapo cha Mbwa mwizi katika mchezo wao wa jana na Ujerumani baada ya kutandikwa bao 7 huku wao wakiambulia bao 1 walilofunga dakika za majeruhi.

- Huzuni ilitanda kwa mashabiki wa Timu ya Brazil na wengine kububujikwa machozi baada ya kushindwa kuvumilia kichapo cha bao 7 toka kwa Ujerumani.

- Mshambulizi wa Ujerumani Miroslav Klose ameweka rekodi ya kuwa mfungaji mabao mengi zadi katika historia ya kombe la dunia.

Wabrazil wengi wamelalama kuwa Kutokuwepo kwa Neymar na Thiago Silva kumechangia Brazil kufungwa bao 7 -1 na Ujerumani. 

Je, Wewe unazungumziaje kitendo cha Brazili kupigwa bao 7 katika hatua ya nusu fainali? Umefurahi ilivyopigwa mabao 7 au umehuzunika?

0 comments:

Post a Comment