|
Natumaini mko pouwa wadau wa BantuTz.Leo ningependa tupeane ujuzi kuhusu software
hii inayoitwa youtube downloader ambayo pia ni converter kwa baadhi ya
formats na kubadilisha ukubwa wa nyimbo (song length)
JINSI INAVYOTUMIKA Kwanza unapoifungua tu itaonekana kama picha hyo apo juu Ukitaka kudownload videos kutoka YouTube basi unachofanya ni ku-COPY video URL alafu unapaste tu na kudownload kama inavyoonekana hapa. Na Hivi ndivyo itakavyokuwa inaonekana wakati ikitaka download Wakati ukitaka CONVERT sasa ile audio kwa ishu kama za ku-CUT na kuiweka kwa format unayotaka wewe unafanya hivi. Click TAB ya CONVERT alafu sasa ka BROWSE ile FILE (Video/audio) alafu chagua format unayotaka na kisha unaweza chagua advanced options kwa ku-TICK apo....Kama inavyoonekana hapa Baada ya Hapo sasa itaonekana kama hivi kwenye zoezi zima la CONVERTING. Tazama vizuri hapo uone namna ambayo mimi nimeEDIT audio/video file yangu nmeamua ianzie SEKUNDE YA 10 na iishie na DAKIKA 03:36 Hii inafanyika mara nyingi kama hutaki maneno/sauti zinazoanza/kuishia wakati wa nyimbo. Na hapa sasa ndo kazi inavyofanyika Kama vipi idownload itumie uwezavyo alafu tupatie feedback mdau....Kama TOPIC imekusaidia SAY THANKYUUUUU, na Quick Reply tupeane FEEDBACK Download Here
Imeandaliwa na..........
Kwa msaada wa~Complex System
|
0 comments:
Post a Comment