Facebook

Sunday, 6 July 2014

Fellaini "Sina cha kuonyesha Man Utd"

 Photo: kiungo wa Man united Marouane Fellaini amesema hana cha kuonyesha Man united.
   Mchezaji huyo alie sajiliwa kwa dau la paundi milioni 27 toka timu ya Evarton na kocha David Moyes amekua akitawaliwa na kiwango cha chini katika maisha yake katika timu ya Manchester united tangu ajiunge,hivyo kupelekea kocha mpya wa sasa Van Gaal kusema kua amuhitaji katika timu ya Man united,akijibu juu ya taarifa hizo fellain alisema "tutaangalia baada ya kombe la dunia,sihitaji kuonyesha chochote,nimekua mchezaji wa kulipwa na mwenye uzoefu kwa muda wamiaka 8"

#je unadahani ni sahihi kua Fellain hana msadaa tena katika timu ya Man united?
kiungo wa Man united Marouane Fellaini amesema hana cha kuonyesha Man united.
Mchezaji huyo alie sajiliwa kwa dau la paundi milioni 27 toka timu ya Evarton na kocha David Moyes amekua akitawaliwa na kiwango cha chini katika maisha yake katika timu ya Manchester united tangu ajiunge,hivyo kupelekea kocha mpya wa sasa Van Gaal kusema kua amuhitaji katika timu ya Man united,akijibu juu ya taarifa hizo fellain alisema "tutaangalia baada ya kombe la dunia,sihitaji kuonyesha chochote,nimekua mchezaji wa kulipwa na mwenye uzoefu kwa muda wamiaka 8"

 Je unadahani ni sahihi kua Fellain hana msadaa tena katika timu ya Man united?

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment