Ronaldinho "mtu mmoja tu ndiye aliye ni fanya nisijiunge na Man united sio Sir Alex"
Man united ilikua ikamilishe usajili wa kiungo Ronaldinho Gaúcho ndani ya masaa 48 lakini akatokea mtu akawanyang'anya tonge mdomoni mwaka 2003
Mchezaji huyo mwenye asili ya kibrazil alikuwa amesha kubaliana masharti binafsi na United akitarajiwa kusaini mkataba toka timu ya PSG,mpaka raisi wa Barcelona Sandro Rosell alipoingilia kati na kuteka dili hilo.
Ronaldinho alisema "ilikua kidogo tu nijiunge na Man united,ilikuwa ni swala la masaa 48,lakini Sandro Rosell alikuwa ameshaniambia kabla hata ya ofa toka united kwamba kama atakua raisi wa Barcelona nijiunge nae na nilisema ndiyo"
"ilikuwa imebakia kukamilisha vitu vidogo tu na United,ndipo Rosell alipo nipigia simu na kunambia kuwa atashinda uchaguzi,na nilisha muahidi kua nitachezea Barcelona kama akiwa raisi,yalikua ni makubaliano ya haraka nikawambia Manchester United kuwa nimechagua kujiunga na Barca"

Imeandaliwa na.....
0 comments:
Post a Comment