Chelsea wametoa taarifa ikisema imemsajili Filipe Luis kutoka Atletico Madrid ingawa bado "wanasubiri makubalano ya maslahi binafsi na beki huyo wa kushoto mwenye umri wa miaka 28".
Mchezaji huyo wa Brazil, kwa muibu wa taarifa, alilazimishwa kufanya mazoezi na timu ya wachezaji wa akiba, baada ya kuonesha nia ya kumfuata Diego Costa Darajani.
0 comments:
Post a Comment