Facebook

Wednesday, 16 July 2014

Matokeo kidato cha sita 2014 yatangazwa,Angalia matokeo hayo hapa !

 #HABARI MATOKEO YA KIDATO CHA 6 2014 YATANGAZWA!

Matokeo ya mtihani wa kidato cha 6 yaliyofanyika tarehe Mei 5 - 21, yametoka na jumla ya watahiniwa 30,225 sawa na asilimia 85.73 wamefaulu katika madaraja ya I- III.

Jumla ya watahiniwa 38,905 sawa na asilimia 95.98 ya watahiniwa waliofanya mtihani kidato cha 6 wamefaulu. Wasichana waliofaulu ni 12,080 na wavulana waliofaulu ni 26,825

- Watahiniwa waliopata division IV ni 4,420 sawa na asilimia 12.54

- Watahiniwa waliopata zero (0) ni 612 sawa na asilimia 1.74.

- SHULE 10 ZILIZOONGOZA 

1. Igowole 
2. Feza Boys 
3. Kisimiri 
4. Iwawa 
5. Kibaha 
6. Marian Girls 
7. Nangwa 
8. Uwata
9. Kibondo
10. Kawawa

- SHULE 10 ZA MWISHO

1. Ben Bella
2. Fidel Castro 
3. Tambaza
4. Muheza High School 
5. Mazizini
6. Mtwara Technical 
7. Iyunga technical 
8. Al- falaah Muslim
9. Kaulia
10. Osward Mang'ombe

 Bofya hapa Chini kuangalia matokeo:-
MATOKEO KIDATO CHA SITA 2014

SHULE 10 ZILIZOONGOZA
1. Igowole
2. Feza Boys
3. Kisimiri
4. Iwawa
5. Kibaha
6. Marian Girls
7. Nangwa
8. Uwata
9. Kibondo
10. Kawawa

SHULE 10 ZA MWISHO
1. Ben Bella
2. Fidel Castro
3. Tambaza
4. Muheza High School
5. Mazizini
6. Mtwara Technical
7. Iyunga technical
8. Al- falaah Muslim
9. Kaulia

10. Osward Mang'ombe 

  Bofya hapa chini kuangalia matokeo:-
MATOKEO KIDATO CHA SITA 2014

Endelea kutembelea www.bantutz.com kupata taarifa mbalimbali zitakazokuwa zinahusiana na matokeo ya kidato cha sita mwaka ya mwaka huu 2014.

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment