Taarifa kutoka nchini Israeli
zinasema kuwa serikali inawazuia baadhi ya watu kwa tuhuma za kuhusika
na mauaji ya kijana wa kipalestina Mohammed Abu Khdeir.
Mauaji hayo kwa mjibu wa polisi nchini humo yanahusishwa na hamasa za utofauti wa utaifa .Israel imeyatuhumu makundi ya kijeshi ya wapiganaji wa Kipalestina wa Hamas kwa mauaji hayo.
Kundi la Hamas wao wamekanusha kuhusishwa na mauaji hayo.
Idara za usalama za Israeli zinamshikilia raia wa Palestina anayedaiwa kuhamasihsa mauaji hayo ya vijana wa Israel.
0 comments:
Post a Comment