Fulana mpya za Manchester United watakazovaa wakiwa nyumbani zimevuja
mtandaoni – picha mpya za fulana hizo zikiwa na nembo ya wadhamini
wapya Chevrolet.
United walipanga kuzindua toleo jipya la fulana hizo nyekundu siku ya Jumatatu ila mashabiki wameshaziona tayari.
Jezi hizo zitavaliwa kwenye mechi ya kwanza Old Trafford dhidi ya Swansea.

0 comments:
Post a Comment