
1: Haruhusiwi kufanya kazi zozote za hisani kwa jamii zinazohusiana na soka.
2: Haruhusiwi kufanya matangazo ya kutangaza bidhaa yoyote ya Liverpool.
3: Haruhusiwi kupiga picha rasmi ya timu.
4: Haruhusiwi kuingia kwenye uwanja wowote ambapo mechi rasmi itakuwa inachezwa.
5: Hatocheza mechi 9 za kimataifa.
6: Hatocheza mechi 12 za Liverpool zikiwemo za ligi na champions league katika kipindi cha miezi 4 aliyofungiwa.
0 comments:
Post a Comment