Arsenal
wana hulka ya kua karibu na kupromote wachezaji wao wa sasa na wale
waliopita klabuni hapo kwa kuwaruhusu kufanya mazoezi katika viwanja
vyake na pia kuwafollow kwenye akaunti zao za kijamii kama njia ya
kuonesha kua pamoja.
Siku kadhaa zilizopita akaunti ya Arsenal ilimuondoa Fabregas katika wachezaji wake wa sasa na wa zamani inaowafuatilia katika mtandao wa Twitter.
Pia majuzi, bango kubwa lililokuwepo dimbani Emirates lenye picha ya Cesc Fabregas linaloonekana dhahiri kwa wanaoingia kiwanjani limeondolewa.
Haya yote yanafuatia kiungo huyo kujiunga na klabu pinzani jijini London - Chelsea.
Nini maoni yako juu ya hatua hizi ?

0 comments:
Post a Comment