Eliaquim. Mangala amewasili Manchester kufanya vipimo vya afya ili
kukamilisha uhamisho wake wa pauni milioni 31.8 kwenda Manchester City.
Kwa mujibu wa Goal.com Mangala ameonekana akiingia katika hospitali ya Bridgewater kufanya vipimo hivyo kabla hajasaini mkataba wa muda mrefu kwa mshahara wa pauni 90,000 kwa wiki.

0 comments:
Post a Comment