Mathieu
Debuchy atatangazwa rasmi muda wowote kuanzia sasa kama mchezaji wa
Arsenal kutokea Newcastle United. Beki huyo amekua na msimu mzuri msimu
uliopita kitakwimu akimzidi beki wa nafasi hiyo aliyehamia Man City
Bacary Sagna na pia kumuweka benchi timu ya taifa Ufaransa.
Uwepo wa Beki huyo wa kulia wa Ufaransa Emirates utamaliza tetesi za ujio wa beki mwingine wa kulia wa timu ya taifa ya Ivory Coast - Serge Aurier.
Uwepo wa Beki huyo wa kulia wa Ufaransa Emirates utamaliza tetesi za ujio wa beki mwingine wa kulia wa timu ya taifa ya Ivory Coast - Serge Aurier.
Imeandaliwa na....
Katemi Methsela.
0 comments:
Post a Comment