
Polisi wa Argentina wamepambana na waandamanaji katika mji mkuu, Buenos
Aires baada ya nchi hiyo kufungwa na Ujerumani katika mchezo wa fainali
ya Kombe la Dunia.

Mapema jana jioni maelfu ya watu walikusanyika
katika mnara wa Obelisk jijini humo ili kusherekea licha ya kupoteza mchezo huo.
0 comments:
Post a Comment