Baada ya kutoka jela, Chris alioanekana kubadilika umbo na kunenepa kiasi cha wengi kuhisi aliishi maisha mazuri akiwa jela.
Mwimbaji huyo wa New Flame ameonekana kuendeleza mabadiliko kwa
kutengeneza mtindo mpya wa nywele na kuzitoa rangi za awali zilizokuwa
kichwani kwake.
0 comments:
Post a Comment