Facebook

Saturday, 5 July 2014

Ryan Giggs atunukiwa udaktari wa heshima

Ryan Giggs alitunukiwa udaktari wa heshima kutokana na mchango wake kwenye michezo.
Ryan Giggs alitunukiwa udaktari wa heshima wa sayansi kutokana na mchango wake kwenye michezo.
Mchezaji wa Manchester United aliyecheza mechi nyingi, Ryan Giggs, amepewa udaktari wa heshima na Chuo Kikuu cha Bolton.
Chuo kikuu hiko kimeeleza kuwa kimetoa zawadi hiyo kama utambuzi wa mchango wake kwenye michezo.
Gigs ameweka rekodi ya kucheza mechi 963 Manchester United na 64 kwa upande wa Wales.
Alipewa kazi ya umeneja wa muda mfupi baada ya kufukuzwa David Moyes ana kwa sasa atafanya kazi chini ya kocha mpya Louis van Gaal.

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment