MAGAZETINI-Ni uratatibu ambao BantuTz imeuanzisha ili kuwawezesha wadau
wote wa Bantu waweze kusomana kupitia kurasa za magazeti mbalimbali
nchini kila siku asubuhi ili kuwasogezea karibu zaidi huduma kupata
habari nuhimu baada ya maombi ya wadau mbalimbali.
Monday, 1 June 2015
BantuTz MAGAZETINI:Soma kilichoandikwa katika kurasa za magazeti yote ya leo Jumatatu,Juni 1.
By Unknown at Monday, June 01, 2015
Celebrities, International, National, Sports News, Transfer Rumours
No comments
Related Posts:
Tetesi za usajili katika magazeti mbalimbali barani Ulaya. Fabio Borini, 23, anajiandaa kujiunga na Sunderland baada ya Liverpool kukubali ada ya pauni milioni 14 (Sky Sports), Baada ya kumchukua Filipe Luis siku ya Ijumaa, Chelsea wanazungumza na Atlètico Madrid kuhusu kums… Read More
Tetesi za usajili katika magazeti mbalimbali barani Ulaya. Kiungo wa Manchester City Yaya Toure, 31, amekataa kujiunga na Manchester United (Daily Star), kiungo wa Everton Ross Barkley, 20, anatazamwa na Man City kuziba nafasi ya Yaya Toure, iwapo atalazimisha u… Read More
Algeria yateua kocha mpya. Christian Gourcuff ameteuliwa kuwa kocha mpya wa Algeria siku ya Jumamosi. Raia huyo wa Ufaransa anachukua nafasi ya Vahid Halilhodzic aliyewapeleka Mbweha wa Jangwani katika raundi ya pili ya Kombe la Dunia … Read More
Arsenal yamnasa Debuchy,Newcastle yakamilisha usajili wa Janmaat Arsenal imemsaini Fulbeki Mathieu Debuchy kutoka Newcastle. Debuchy, Miaka 28, alikuwa mmoja wa Wachezaji wa France waliocheza Kombe la Dunia huko Brazil na ameletwa Emirates kuchukua nafasi ya Bacary Sagna ambae … Read More
Filipe Luis rasmi Chelsea Chelsea wamemsajili beki wa kushoto wa Atletico Madrid, Filipe Luis kwa mkataba wa miaka mitatu, na kwa kitita ambacho hakikutajwa. Mchezaji huyo kutoka Brazil atavaa jezi namba 5, imesema Chelsea. "Ndo… Read More
0 comments:
Post a Comment