Jioni hii katika bunge la Bajeti Mweshimiwa Mbowe ameongoza kambi ya
Upinzani kutoka Bungeni kwa kila anachodai wabunge wa CCM wanajaribu
kuficha uovu wa Wizara ya Nishati na Madini na Kujadili mazuri tu kuhusu
umeme wakati kuna Uozo wa Kujadili ikiwemo Sakata kubwa la Ufisadi la
APTL linalohusu Wizara hiyo...
Mbowe Amesema ni heri wao watoke na wawaachie CCM wapitishe bajeti hiyo
wenyewe kwa vile wameshapanga kuipitisha na kupanga watu wakuongea
kumsifia Waziri wa Wizara hiyo.
0 comments:
Post a Comment