Mambo vipi wadau,



 BantuTZ ni Sehemu ambayo tunapata informations nyingi tena bure pasipo kutozwa hata mia,kwa kulitambua hilo tumekuletea jinsi gani unaweza kufanya,here below are the steps

1.Unistall Whatsapp ya mwanzo kabisa(official one) then unaenda kwenye folder la whatapps una edit na kuwa OGwhatsapp
2.Nenda kwenye playstore then download OGWhatsapp kama haujaikuta kuna link nimeiweka chini idownload manually uinstall
3.Register old number yako(uliyokuwa unaitumia mwanzo) kwa OGwhatsapp ,baada ya kumaliza njoo step ya 4
4.Install Official Whatsup(ile uliyo-unistall) then register na hiyo namba ya pili unayotaka kutumia kwenye device moja

Hapo utakuwa ushamaliza na very easy,mie nimeinstall natumia namba mbili kwenye simu moja.
 
Note:This for Android Users with Duos Handsets