Facebook

Friday, 11 July 2014

Prof. Jay aalika mashabiki kwenye “Kipi Sijaskia”

mwaliko-wa-Prof-Jay

 
Professa Jay amepanga kuifanya video ya hit yake ya ‘Kipi Sijasikia’ aliyomshirikisha Diamond Platinumz, Jumamosi hii (July 12,) na hataki kumuweka mbali shabiki anaependa kazi yake.
Professa ametoa mualiko maalum kwa shabiki wake anaependa kushiriki katika video hiyo kupitia kadi maalum aliyoiweka Instagram.

“Kings and QUEENS wote mnakaribishwa wkeney video shooting ya KIPI SIJASIKIA MUHIMU; Vigezo na masharti kuzingatiwa!!!” Ameandika Profesa Jay kwenye Post yake Instagram

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment