Facebook

Wednesday, 16 July 2014

Ujeruman yapokelewa kwa shangwe.

 Salim Kikeke's photo.

Maelfu ya mashabiki wa soka nchini Ujerumani wamejitokeza mjini Berlin kuwalaki wachezaji wa timu ya taifa walioshinda Kombe la Dunia.
Salim Kikeke's photo.
Sherehe kubwa zimefanyika katika eneo la Brandenburg Gate, ambapo wachezaji wameonesha kombe waliloshinda kwenye jukwaa, huku wakiserebuka.

Salim Kikeke's photo. Watu wengi walikusanyika tangu alfajiri kuwakaribisha wachezaji hao waliowasili Jumanne asubuhi. Maelfu ya watu pia walijipanga pembezoni mwa barabara.

Salim Kikeke's photo. Hili ni kombe la nne la dunia kwa Ujermani kushinda, na la kwanza kwa Ujerumani iliyoungana tena mwaka 1990.

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment