Facebook

Wednesday, 16 July 2014

Israel yaanza tena mashambulio katika mzozo wa Gaza.

 Photo: MZOZO WA GAZA: ISRAEL YAANZA TENA MASHAMBULIO
Israel imerejea mashambulio yake ya anga kuelekea Gaza baada ya kusimamisha mapigano kwa muda mfupi.
Awali Israel ilikubali mapendekezo ya Misri ya kusitisha mapigano, na ilisimamisha shughuli zake Jumanne asubuhi.
Hata hivyo, tawi la kijeshi la Hamas, linalodhibiti Gaza lilitupilia mbali pendekezo hilo, likisema kuwa ni kama "kujisalimisha".
Maafisa wa Palestina wanasema watu 192 wameuawa kwa mashambulio ya anga ya Israel, yaliyoanza siku nane zilizopita, ili kuzuia maroketi yanayorushwa kutoka Gaza.
Waisrael wasipopungua wanne wamejeruhiwa vibaya tangu ghasia hizo kuanza, lakini hakuna aliyeuawa.

Related Posts:

  • Mke wa mwanasiasa atekwa Cameroon Jeshi la Cameroon linasema kuwa kundi la wapiganaji Waislamu la Nigeria, Boko Haram, limemteka nyara mke wa mwanasiasa mashuhuri kaskazini mwa nchi. Mke wa naibu waziri mkuu, Amadou Ali, na msaidizi wake wa nyumban… Read More
  • Al Shabab yamuua Mwanamke kwa kutojifunga hijab Somalia. Wanamgambo wa kiislamu wa Al Shabab wamempiga mwanamke mmoja risasi na kumuua kwa kukosa kujifunga hijab kichwani. Jamaa za mwanamke huyo m… Read More
  • Ukrain kujibu mapigo Jeshi la Ukrain limeanza kujihami mashariki mwa nchi hiyo dhidi ya mashambulizi ya waasi wa Urusi kufuatia kutunguliwa kwa ndege ya Malaysia katika eneo hilo. Msemaji wa serikali ya Ukrain Andriy… Read More
  • Papa aomba vita vimalizwe Papa Francis ameomba amani kwa dhati katika hotuba ya kila juma katika medani ya St Peter's mjini Rome. Aliacha kusoma hotuba aliyoandika kuomba vita vimal… Read More
  • Kombora lalipua matenk ya mafuta,Libya Vikosi vya zima moto vya Libya vinapambana kujaribu kuuzima moto baada ya kombora la roketi kulipua tanki la kuhifadhia mafuta wakati wa mapigano kati ya… Read More

0 comments:

Post a Comment