Facebook

Thursday, 10 July 2014

UNAJUA JINSI WENGER ALIVYOMSHAWISHI SANCHEZ? SOMA HAPA

Photo: UNAJUA JINSI WENGER ALIVYOMSHAWISHI SANCHEZ? SOMA HAPA

- Wenger alipata taarifa kwamba Sanchez anafanya mipango ya kuhama Barcelona  lakini angependelea zaidi kurudi Italy, kwani anaijua ligi hiyo vilivyo alipokua akiichezea Udinese.
- Wenger alimtembelea Sanchez kwa kumshtukiza.
- Katika kikao cha Wenger, Sanchez na ajenti wa Sanchez, meneja huyo wa Arsenal alimuelezea straika huyu faida za kikipiga Premier League na atapata mafanikio makubwa. 
- Pia Wenger aliweka wazi kua alikua akivutiwa na uchezaji wake kwa kipindi kirefu na amekua akimfuatilia tokea alipokua akichezea ligi ya  Argentina klabu ya River Plate. 
- Wenger alimuahidi Sanchez mshahara wa £135,000 kwa wiki, sawa na mshahara anaolipwa Mesut Ozil.

Ripoti zinaendelea kudai kwamba kwa masaa tu baada ya kuongea na Wenger, Sanchez alimwambia ajenti wake, Fernando Felicevich, kwamba anataka kujiunga na the Gunners.

Hili lilitosha kuiangusha Liverpool katika jaribio lao la kumnyakua straika huyo katika dili la kubadilishana na Luis Suarez, na ingwa Juventus walitenga ofa, ofa yao haikuweza kuizidi ile ya Arsenal.

Sanchez kwa sasa anatazamiwa kukamilisha rasmi uhamisho wa kujiunga na the Gunners siku chzche zijazo, huku mbinu za  Wenger zikionekana kufanya kazi. 

Shea hii.........na gonga like kama umekubali mbinu za Wenger

0 comments:

Post a Comment