Taarifa zina semakua madokta wa Man United wametumwa kumfanyia
uchunguzi wa vipimo kiungo huyo wa timu ya Juventus toka nchini Italy
kutokana na mchezaji uyo kukabiliwa na maumivu ya goti lake mara kwa
mara,hivyo ma daktari hao watamfanyia vipimo vya Goti kabala Man united hawaja fanya maamuzi ya mwisho ya kumnunua.
Artulo Vidal aongea na kituo cha televisheni cha Chilevisio na ajakanusha kutaka kuondoka juve alisema "nimesikia tetesi nyingi,lakini sijaongelea chochote juu ya taarifa hii,nafurahia mapumziko yangu na nikirudi Italy ndio nitaangalia nini kitatokea,nimetulia kwa sasa.Kila mtu angelipenda kuchezea timu kubwa duniani"
"nime relax kwa sasa na ninafurahia mapumziko yangu na familia yangu pamoja na marafiki.na ninaimani kua mapumziko haya yatanisaidia kupona kwa goti langu siku zijazo"
Vidal aliulizwa juu ya taarifa za yeye kwenda kucheza ligi ya England na alijibu
"[kicheko] kila mtu anapenda kwenda kuchezea timu kubwa duniani"[chanzo peoples Person]
Manchester united wamekubalia kumsajili Vidal kwa kiasi cha £32 milioni pamoja na kuwapa juventus beki wake Patrice Evra
Taarifa zinasema kua Man city wanampango wa kuteka dili la Man united kutaka kumsajili Artulo vidal na hivyo kumnyakua mchezaji huyo kuelekea Etihad

0 comments:
Post a Comment