Facebook

Friday, 18 July 2014

Wafanyakazi wambaka binti mwenye miaka 6 India.

 Photo: Polisi katika mji wa Bangalore, kusini mwa India wanasema wafanyakazi wawili wa shule moja wanatuhumiwa kumbaka binti mwenye umri wa miaka sita.
Mtoto huyo alifanyiwa kitendo hicho Julai 2, lakini wazazi wake wamegundua hilo siku chache zlizopita, baada ya binti huyo kulalamika maumivu ya tumbo na kupelekwa hospitali.
Mamia ya wazazi wameandamana nje ya shule hiyo, waking'oa mageti na kupiga kelele.
Polisi wamefungua kesi lakini hakuna mtu yeyote aliyekamatwa.
Polisi katika mji wa Bangalore, kusini mwa India wanasema wafanyakazi wawili wa shule moja wanatuhumiwa kumbaka binti mwenye umri wa miaka sita.
Mtoto huyo alifanyiwa kitendo hicho Julai 2, lakini wazazi wake wamegundua hilo siku chache zlizopita, baada ya binti huyo kulalamika maumivu ya tumbo na kupelekwa hospitali.
Mamia ya wazazi wameandamana nje ya shule hiyo, waking'oa mageti na kupiga kelele.
Polisi wamefungua kesi lakini hakuna mtu yeyote aliyekamatwa.

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment